Je, tulete episode zingine?

Total votes: 3
Ndio (3) 100%
La No votes
Posts: 2
Joined: 26 Apr 2026, 23:57
Bambika na Uelimike na vituko vya Mzee Mambo,hii ni chira ama choice :roll:

Posts: 10
Joined: 26 Apr 2026, 23:41
Je anachokifanya bwana mambo kwa mwanawe wa kike ni sawa?. Jifunze na ku- Enjoy maana episodes Zote ni moto wa kuotea mbali🔥 🔥

usikose kutazama CHIRA ya MAMBO episode 2 🙏
Rika La Asili
Posts: 35
Joined: 12 Apr 2026, 21:33
Location: Ngong, Kajiado, Kenya, Azania, Africa, Earth, Solar System, Milky Way Galaxy, Universe
Contact:
:lol: master wa kavu kavuni :lol:

Pilot episode kali sana. Wacha tuone episode 2 chira itakuaje
Posts: 10
Joined: 26 Apr 2026, 23:41
Mambo yanazidi kuwa on Fire 🔥 katika CHIRA YA MAMBO Episode 2.

Ladies and Gentlemen,..Je ni kipi kitakachotokea,Tukiwa Ready ku-Drop Episode 2 Kesho?🚀

Are you🫵 ready❗❗❗Here we Goooo!!! Kimbia🏃‍♂️pale niko.imara.tv
Comment/Subscribe/ Like & Share/

Posts: 10
Joined: 26 Apr 2026, 23:41
Tabia ya mambo imekufunza Nini kama jamanii 🥹 na KAREMBO atafanyaje kujinasua kwa mtihani mgumu wa mjomba wake? na kuna uwezekano atasaidika?..🫩

USIKOSE ----- KUTAZAMA 📡

- Episodes zijazo MOTO🔥🧨 MOTO🔥
🧨-Elimika/Jifunze/ Bambika/na series CHIRA YA MAMBO..

For more Exciting&Educative 😜 Episodes.kindly check👇.........🙏

niko.imara.tv
Posts: 3
Joined: 13 May 2026, 13:45
Naitwa daddy S Buda msanii wa mziki kutoka pwani, nafuatilia sana filamu chira ya mambo,kazi nzuri iliyo na mafunzo Hongera....👍
Posts: 3
Joined: 13 May 2026, 13:45
Narudi kijijini ni song inayoongelea story ya maisha halisi ya kijana ambaye alipata opportunities but akazichezea.

BASED ON A TRUE<< REAL LIFE SITUATIONS<< MUSIC TALK'S

Hupotezi kama 🤣hujapata kitu/ jifunze kitu👍/Elimika👊/Burudika🥰

Artist: 🎧 DADDY S BUDA
Song : 💽 NARUDI KIJIJNI .




#niko.imara.tv #pmk #pa-fumemuzikklan
Posts: 10
Joined: 26 Apr 2026, 23:41
Brilliant song 👌 my brother @daddysbuda Karibu tuwe IMARA pamoja 🫂
Posts: 10
Joined: 26 Apr 2026, 23:41
Tafiti zinasema kwamba asilmia( 75%) ya family incest cases hutendeka manyumbani kwetu Kila wakati, Na wanaoongoza kwa utendaji wa ukatili huu wakiwemo father's & stepfathers..

Je ni ukweli?🤔🤔🤔

Na ni hatua gani haswa za kisheria huchukulia kukabiliana watekelezaji wa hili tatizo ?...🤷

Come mtu wangu wa nguvu tuendeleze CHIRA/YA/MAMBO/ SERIES EP-3/ tuone kipi kitakacho tendeka kwa mambo na family yake....👊


Bonyeza 👇 kupata uhondo kamili



Rika La Asili
Posts: 35
Joined: 12 Apr 2026, 21:33
Location: Ngong, Kajiado, Kenya, Azania, Africa, Earth, Solar System, Milky Way Galaxy, Universe
Contact:
Daddy s buda wrote: 13 May 2026, 14:45 Narudi kijijini ni song inayoongelea story ya maisha halisi ya kijana ambaye alipata opportunities but akazichezea.
Huu Wimbo ni mzuri sana! Karibu imara tv. Check your DM here for a new campaign project Ya kurudisha vijana ushago kulima ili kujisaidia kimaisha badala ya kukaa base ya jobless corner wakikula jaba
Post Reply

Information