Page 1 of 1

Jinsi Ya Kuvaa Condom

Posted: 23 Apr 2026, 18:54
by Ndung'u Wa Maina
Tazama hii filamu ujue jinsi ya kujikinga kutokana na Ukimwa, Mimba isiyoategemewa N.K.
iliundwa na wanafunzi wa chuo cha Kenya School of Mass Communication katika clinic ya LVCT



Re: Jinsi Ya Kuvaa Condom

Posted: 20 May 2026, 12:29
by Ole karai
Kweli ipo haja kwa jamii kuzidi kukumbushwa umuhimu wa Kinga na matumizi yake ...