Bambika na Uelimike na vituko vya Mzee Mambo,hii ni chira ama choice
Re: Chira ya Mambo Tv Series
Posted: 29 Apr 2026, 20:09
by Ole karai
Je anachokifanya bwana mambo kwa mwanawe wa kike ni sawa?. Jifunze na ku- Enjoy maana episodes Zote ni moto wa kuotea mbali
usikose kutazama CHIRA ya MAMBO episode 2
Re: Chira ya Mambo Tv Series
Posted: 30 Apr 2026, 01:31
by Ndung'u Wa Maina
master wa kavu kavuni
Pilot episode kali sana. Wacha tuone episode 2 chira itakuaje
Re: Chira ya Mambo Tv Series
Posted: 05 May 2026, 11:10
by Ole karai
Mambo yanazidi kuwa on Fire katika CHIRA YA MAMBO Episode 2.
Ladies and Gentlemen,..Je ni kipi kitakachotokea,Tukiwa Ready ku-Drop Episode 2 Kesho?
Are you readyHere we Goooo!!! Kimbiapale niko.imara.tv
Comment/Subscribe/ Like & Share/
Re: Chira ya Mambo Tv Series
Posted: 12 May 2026, 23:12
by Ole karai
Tabia ya mambo imekufunza Nini kama jamanii na KAREMBO atafanyaje kujinasua kwa mtihani mgumu wa mjomba wake? na kuna uwezekano atasaidika?..๐ซฉ
USIKOSE ----- KUTAZAMA
- Episodes zijazo MOTO MOTO -Elimika/Jifunze/ Bambika/na series CHIRA YA MAMBO..
For more Exciting&Educative Episodes.kindly check.........
niko.imara.tv
Re: Chira ya Mambo Tv Series
Posted: 13 May 2026, 14:00
by Daddy s buda
Naitwa daddy S Buda msanii wa mziki kutoka pwani, nafuatilia sana filamu chira ya mambo,kazi nzuri iliyo na mafunzo Hongera....
Re: Chira ya Mambo Tv Series
Posted: 13 May 2026, 14:45
by Daddy s buda
Narudi kijijini ni song inayoongelea story ya maisha halisi ya kijana ambaye alipata opportunities but akazichezea.
BASED ON A TRUE<< REAL LIFE SITUATIONS<< MUSIC TALK'S
Hupotezi kama hujapata kitu/ jifunze kitu/Elimika/Burudika
Artist: DADDY S BUDA
Song : NARUDI KIJIJNI .
#niko.imara.tv #pmk #pa-fumemuzikklan
Re: Chira ya Mambo Tv Series
Posted: 14 May 2026, 21:53
by Ole karai
Brilliant song my brother @daddysbuda Karibu tuwe IMARA pamoja
Re: Chira ya Mambo Tv Series
Posted: 19 May 2026, 21:47
by Ole karai
Tafiti zinasema kwamba asilmia( 75%) ya family incest cases hutendeka manyumbani kwetu Kila wakati, Na wanaoongoza kwa utendaji wa ukatili huu wakiwemo father's & stepfathers..
Je ni ukweli?
Na ni hatua gani haswa za kisheria huchukulia kukabiliana watekelezaji wa hili tatizo ?...
Come mtu wangu wa nguvu tuendeleze CHIRA/YA/MAMBO/ SERIES EP-3/ tuone kipi kitakacho tendeka kwa mambo na family yake....
Bonyeza kupata uhondo kamili
Re: Chira ya Mambo Tv Series
Posted: 19 May 2026, 22:39
by Ndung'u Wa Maina
Daddy s buda wrote: โ13 May 2026, 14:45
Narudi kijijini ni song inayoongelea story ya maisha halisi ya kijana ambaye alipata opportunities but akazichezea.
Huu Wimbo ni mzuri sana! Karibu imara tv. Check your DM here for a new campaign project Ya kurudisha vijana ushago kulima ili kujisaidia kimaisha badala ya kukaa base ya jobless corner wakikula jaba